Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Siku ya wanawake duniani na ushiriki katika ngazi za maamuzi

Imechapishwa:

Msikilizaji hebu fikiria kuwa na dunia yenye usawa. Dunia huru ya bila upendeleo na ubaguzi. Dunia jumuishi, yenye kutoa haki na shirikishi. Dunia ambayo licha ya tofauti zetu lakini bado tunaheshimiana na kufurahia. Na leo hii wataalamu wanatuambia tunaweza kusimama pamoja kuhamasisha usawa wa kijinsia kwa wote bila ubaguzi wa wanawake.

Wanawake walioko vijijini ndio wanatajwa kushiriki pakubwa shughuli za kiuchumi
Wanawake walioko vijijini ndio wanatajwa kushiriki pakubwa shughuli za kiuchumi UNFPA
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.