Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

IMF yaonya kuhusu kudorora kwa uchumi wa Afrika

Imechapishwa:

IMF inasema kwa mataifa kadhaa yanayoendelea yatajikuta kwenye mdororo wa uchumi mwaka huu, hali hii ikichangiwa pakubwa kutokana na vit aya Ukraine, mfumuko wa bei na ongezeko la tozo katika benki nyingi.

Mkurugenzi wa shirika la fedha duniani, IMF, Kristalina Georgieva.
Mkurugenzi wa shirika la fedha duniani, IMF, Kristalina Georgieva. REUTERS/Denis Balibouse
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.