Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Changamoto kwa wafanyabiashara wadogo na wa kati Afrika Mashariki

Imechapishwa:

Msikilizaji kwa muda sasa, wafanyabiashara na viongozi kwenye ukanda wa Afrika Mashariki, wameendelea na juhudi za kujaribu kurahisisha mazingira ya kibiashara na ufanyaji biashara, kwa kuweka miundombinu itakayosaidia kuongeza thamani ya bidhaa zinazozalishwa ili kupata soko ndani na nje ya ukanda, tunaungana na Safari Fungo, mtaalamu wa biashara za kimataifa na utangamano wa kikanda, lakini pia ni mkurugenzi wa jukwaa la ubora nchini Tanzania, Nationa Quality Association of Tanzania.

Makamu wa rais wa Tanzania, Dr Philip Mpango.
Makamu wa rais wa Tanzania, Dr Philip Mpango. © TQA
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.