Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Maonesho ya teknolojia ya michezo ya kidijiti 'Video games'

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la uchumi wiki hii, inaangazia maonesho ya teknolojia kwa wabunifu wa michezo ya Kidijiti "Video Games", yatakayofanyika mwishoni mwa juma hili, mtayarishaji amezungumza na Douglas Ogeto, CEO wa Ludiqueworks ya nchini Kenya pamoja na Ann Ndanu, mmoja ya waandaji wa maonesho ya NAICCON 2022.

Nembo ya kituo cha ubunifu nchini Kenya, Nairobi Comic Convention - NAICCON
Nembo ya kituo cha ubunifu nchini Kenya, Nairobi Comic Convention - NAICCON © Naiccon2022
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.