Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Mazungumzo kuhusu Jumuiya ya Afrika Mashariki na katibu mkuu Peter Mathuki

Imechapishwa:

Katika makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili, tumefanya mahojiano na katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Peter Mathuki, ambaye anazungumza mengi kuhusu Jumuiya na mchakato wa Somalia kuomba kuwa mwanachama.

Katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Peter Mathuki, akimuonesha nyaraka rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, ambaye nchi yake inataka kuwa mwanachama wa jumuiya hiyo.
Katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Peter Mathuki, akimuonesha nyaraka rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, ambaye nchi yake inataka kuwa mwanachama wa jumuiya hiyo. © Jumuiya
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.