Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

CHOGM - Rwanda: Ufadhili wa Kifedha barani Afrika

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la Uchumi wiki hii, inaangazia changamoto za ufadhili wa kifedha kwa nchi za Afrika, na namna taasisi za kifedha za kimataifa zinavyoweza kusaidia mikopo na ujuzi kwa mataifa haya kwaajili ya maendeleo ya bara zima.

Faizal Bhana (aliyevaa shati jeupe), mkurugenzi wa taasisi yakifedha ya Jersey kwenye ukanda wa mashariki ya Kati, Afrika na India. Hapa akiwa Nairobi - Kenya hivi karibuni.
Faizal Bhana (aliyevaa shati jeupe), mkurugenzi wa taasisi yakifedha ya Jersey kwenye ukanda wa mashariki ya Kati, Afrika na India. Hapa akiwa Nairobi - Kenya hivi karibuni. © jerseyfinance
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.