Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Kubidhaisha lugha ya Kiswahili

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la uchumi juma hili inaangazia namna ambavyo Kiswahili kinaweza kubidhaishwa na kumuingizia mtu kipato.

Katikati aliyevaa suti ni rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi, wakati akifunga kongamano la idhaa za kiswahili duniani, jijini Arusha, Tanzania. 18 03 2022.
Katikati aliyevaa suti ni rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi, wakati akifunga kongamano la idhaa za kiswahili duniani, jijini Arusha, Tanzania. 18 03 2022. © FMM-RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.