Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Wataalamu, nchi haziwezi kukwepa kukopa

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili, inaangazia suala la ukopaji na madeni yanayozikabili nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, na ni baada ya kuibuka mijadala kuhusu namna nchi za Kenya na Tanzania na mataifa mengine wanachama zinakopa.

Nembo ya shirika la fedha duniani IMF.
Nembo ya shirika la fedha duniani IMF. REUTERS - Johannes Christo
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.