Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Sehemu ya pili ya makala kuhusu maadhimisho ya siku ya kiswahili duniani

Imechapishwa:

Karibu katika Makala haya Changu Chako Chako Changu ambapo jumapili ya leo tunaendeleza sehemu ya pili ya Makala kuhusu maadhimisho ya siku ya Kiswahili duniani, Ali Bilali ndio langu jina Karibu.

Kuanzia kushoto ni Emmanuel Makundi, Alan Chevukwavi, aka Mwoshashombo, Fidelis Muigai na Wanjohi P. Mugambi aka Malenga Kitunguu Machon
Kuanzia kushoto ni Emmanuel Makundi, Alan Chevukwavi, aka Mwoshashombo, Fidelis Muigai na Wanjohi P. Mugambi aka Malenga Kitunguu Machon © @AFN
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.