Changu Chako, Chako Changu
Historia ya muziki wa Jazz wakati tamasha la muziki huo likirindima jijini Kinshasa
Imechapishwa:
Cheza - 20:01
Naitwa Ali Bilali ninakukaribisha katika Makala haya ya changu chako chako changu, ambapo Jumapili hii nakuletea Historia ya Muziki wa Jazz, na kwenye kipengele cha le Parler Francophone nakuletea ratiba ya shughuli za kitamaduni kutoka Alliance Francaise ya Lubumbashi, Nairobi na Kigali nchini Rwanda na kwenye Musiki nitakujuza kuhusu mwanamuziki Bruce Melodie kutoka nchini Rwanda. Makinika nami. Bienvenue.