Changu Chako, Chako Changu
Historia ya malkia wa Uingereza Elizabeth wa pili
Imechapishwa:
Cheza - 20:00
Karibu mpenzi msikilizaji katika Makala haya Changu Chako Chako Changu, ambapo leo nakuletea historia ya Malkia Elizabeth II ambae amefariki dunia juma hili, na kwenye kipengele cha le parler francophone tutaoungana na mwenzangu Reuben Lukumbuka aliekuwepo huko Arusha na kwenye muziki nitakuletea mwanamuziki Elton John ambae ni wanamuziki wanaomuenzi Malkia Elizabeth wa Pili. Mimi naitwa Ali Bilali, Karibu.