Ni furaha tele kukutana nawe kwa mara nyingine tena katika makala haya ya Changu Chako Chako Changu, ambapo leo nakuletea tamaduni mbambali za watu wa Rwanda, na kwenye kipengele cha le Parler Francophone nitakuletea tamati ya maonyesho ya sarakasi za siasa, yaliofanyika Alliance francaise ya Nairobi na kwenye Muziki tutamuangazia mwanamuziki kutoka nchini Rwanda Andy Bumuntu. Mimi naitwa Ali Bilali Bienvenue.
Matangazo ya kibiashara
Kumbuka pia kutufollow kwa instagram kwa kubonyeza hapa @billy_bilali