Changu Chako, Chako Changu
Mjadala kuhusu uchoraji vibonzo baada ya tamasha la jijini Nairobi
Imechapishwa:
Cheza - 20:01
Karibu kuwa nami kwa mara nyingine tena Jumapili hii katika Makla haya ya Changu Chako Chako Changu, ambapo leo nakuletea muendelezo wa Makala kuhusu uchoraji vibonzo na kwenye muziki nitamzungumzia hayati Robert Nesta Marley maharufu Bob Marley aliefariki miaka 41 iliopita.
Matangazo ya kibiashara
mimi ni Ali Bilali Bienvenue. Usikosi pia kunifollow kwa instagram @billy_bilali