Changu Chako, Chako Changu
Warsha ya kimataifa ya idhaa za kiswahili iliofanyika mjini Arusha nchini Tanzania
Imechapishwa:
Cheza - 20:00
Katika Makala haya utapata kufahamu zaidi kuhusu warsha ya kimataifa ya idhaa za kiswahili iliofanyika mjini Arusha na kujumuisha vituo mbalimbali vya idhaa za kiswahili kutoka ukanda wa Afrika mashariki.
Matangazo ya kibiashara
Usikosi pia ku follow kwa Instagram https://www.instagram.com/billy_bilali/