Changu Chako, Chako Changu
Yaliyojiri mwaka huu kuhusu historia ya Canada
Imechapishwa:
Cheza - 20:09
Makala ya juma hili inaangazia mambo yaliyojadiliwa katika msimu wa mwaka huu, mojawapo ni historia ya nchi ya Canada inayopatikana katika bara la Amerika ya Kaskazini ikiwa na lugha kuu mbili za Kiingereza na Kifaransa.