Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mazungumzo kuhusu mapngo wa nyuklia wa Iran mjini Geneva, Kiongozi wa LRA Joseph Kony kusema yupo tayari kujisalimisha na Ziara ya Rais Joseph Kabila Mashariki mwa nchi ya DRCongo

Imechapishwa:

Juma hili tunatazama mazungumzo ya mapngo wa nyuklia wa Iran ambayo yameendelea mjini Geneva, pia tutaangazia kauli ya kiongozi wa kundi la waasi wa Uganda la Lords Resistance Army LRA Joseph Kony aliyesema yupo tayari kujisalimisha ikiwa atahahakikishiwa usalama wake, pia tutaangazia ziara ya Rais wa DRCongo Joseph Kabila katika eneo la Mashariki mwa nchi hiyo ambalo lilikuwa chini ya waasi wa M23 waliozidiwa nguvu na kutimuliwa hivi karibuni.

Sayari ya dunia
Sayari ya dunia
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.