Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Vikosi vya Usalama nchini Kenya vikishirikiana na vile vya Nje vimeanza uchunguzi juu ya shambulizi la Westgate kipindi hiki Umoja wa Mataifa UN ukipitisha azimio la kuangamiza silaha za kemikali za Syria

Imechapishwa:

Jeshi nchini Kenya likisaidiwa na Makachero kutoka Uingereza, Marekani na Israeli wanaendelea na uchunguzi kubaini wahusika wa shambulizi la kigaidi kwenye Jumba la Biashara la Westgate lililochangia vifo vya watu zaidi ya sitini, Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC imebainisha sababu kubwa ya kulemaa kwa usalama wa Eneo la Mashariki mwa Taifa hilo ni uwepo wa wakimbizi kutoka Rwanda wanaopatiwa hifadhi na wao ndiyo wanatengeneza makundi yanayomiliki silaha na Marekani na Urusi wamekubaliana juu ya azimio la Umoja wa Mataifa UN litakalotoa nafasi ya kuangamizwa kwa silaha za kemikali zinazomilikiwa na Serikali ya Syria chini ya Rais Bashar Al Assad!!

Mabaki ya Jumba la Biashara la Westgate lililokumbana na shambulizi la kigaidi lililofanywa na Kundi la Wanamgambo la Al Shabab
Mabaki ya Jumba la Biashara la Westgate lililokumbana na shambulizi la kigaidi lililofanywa na Kundi la Wanamgambo la Al Shabab
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.