Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Kiongozi wa Kikosi Maalum cha Umoja wa Mataifa UN kitakachopelekwa nchini DRC zuru Goma huku afya ya Mtetezi wa Haki ya Mtu Mweusi nchini Afrika Kusini Nelson Mandela ikiendelea kuimarika

Imechapishwa:

Umoja wa Mataifa UN umemteua Kiongozi wa Kikosi Maalum kitakachopelekwa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kikiwa na lengo la kuyasambaratisha Makundi yanayomiliki silaha kwenye eneo hilo na kuchangia kuzorotesha hali ya usalama, Sudan na Sudan Kusini zipo hatari zikaingia kwenye mgogoro wa kiuchumi na kiusalama kutokana na pande hizo kuingia kwenye mzozo baada ya Khartoum kufunga bomba la mafuta kutoka Juba na Afya ya Kiongozi wa Kwanza Mzalendo aliyepigania Haki ya Mtu Mweusi nchini Afrika Kusini Nelson Mandela maarufu kama Mzee Madiba imetengaa baada ya kuendelea kupatiwa matibabu kwa zaidi ya juma moja!!

Mkuu wa Kikosi Maalum Cha Umoja wa Mataifa UN kitakachokwenda kupambana na Makundi ya watu wenye silaha Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC Jenerali Carlos Alberto Dos Santos Da Cruz
Mkuu wa Kikosi Maalum Cha Umoja wa Mataifa UN kitakachokwenda kupambana na Makundi ya watu wenye silaha Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC Jenerali Carlos Alberto Dos Santos Da Cruz
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.