Gurudumu la Uchumi
Mkutano wa kimataifa wa wanawake wajasiriamali Afrika Mashariki
Imechapishwa:
Cheza - 10:05
Juma lililopita ilikuwa Siku ya Wanawake Wajasiriamali duniani, siku ambayo iliadhimishwa katika Mataifa mbalimbali ulimwenguni.Nchini Tanzania kulifanyika Mkutano wa Mtandao wa Wanawake Wajasiriamali Afrika Mashariki na kati, kutathimini Changamoto zinazowakabili Wajasiriamali Wanawake.