Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Rwanda yakwaa uanachama wa muda wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa UNSC huku Kampeni za Uchaguzi wa Urais nchini Marekani zachanja mbuga
Imechapishwa:
Cheza - 20:11
Rwanda hatimaye yatwaa kiti cha uanachama wa muda wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa UNSC ambacho watadumu nacho kwa miaka miwili, Jeshi la Polisi nchini Kenya laendeleza msako dhidi ya Viongozi, Wafadhili na Wafuasi wa Kundi la Mombasa Republican Council MRC, Ghasia zaendelea kuchacha Visiwani Zanzibar baada ya kutoweka kwa Kiongozi wa UAMSHO Sheikh Farid Hadi Ahmed na Mdahalo wa Pili wa Wagombea wa Urais nchini Marekani washuhudia Barack Obama na Mitt Romney wakishambuliana kwa hoja.