Mjadala wa Wiki
Maandamano kupinga udhalilishaji wa Mtume Muhammad yasababisha Marekani kurejesha nyumbani Mabalozi wake
Imechapishwa:
Cheza - 11:27
Mjadala wa Wiki juma hili tunazungumzia kuhusu hatua ya serikali ya Marekani kuwaondoa wanadiplomasia wake katika nchi kadhaa za kiarabu kufuatia maandamano makubwa ya kupinga kitendo cha kumdhihaki Mtume Muhammad (S.A.W) na athari za hatua hiyo.