Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Utulivu bado umeendelea kuwa kitendawili nchini DRC huku Mpatanishi wa Kimataifa wa mgogoro wa Syria Koffi Annan akitangaza kuacha kibarua hicho

Imechapishwa:

Hali ya utulivu imeendelea kuwa kitendewili kilichokosa jibu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kutokana na kuendelea kushuhudiwa mapambano baina ya Jeshi la FARDC na Waasi wa M23, Nchini Uganda hali ya wasiwasi imeendelea kutanda kipindi hiki ambacho ugonjwa wa Ebola umeibuka na kusababisha vifo vya watu kumi na sita, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepiga kura kuridhia kuongeza muda wa vikosi vya kulinda amani Jimboni Darfur kwa muda wa mwaka mmoja na Machafuko yaendelea Syria kipindi hiki ambacho Mpatanishi wa Kimataifa kwenye mgogoro huo akitangaza kubwaga manyanga mwishoni mwa mwezi huu kutokana na kukosa uungwaji mkono.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.