Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Jeshi la MONUSCO na lile la Serikali ya DRC FDRC yaanzisha operesheni kukabiliana na Waasi wa Kundi la M23
Imechapishwa:
Cheza - 18:55
Majeshi ya Kulinda Amani ya Umoja wa Mataifa Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo MONUSCO kwa kushirikiana na Jeshi la Serikali FRDC wameanzisha operesheni kuwasambaratisha Waasi wa M23, Wananchi wa Sudan Kusini wakisherehekea mwaka mmoja tangu kupata uhuru, Mali yaendelea kushuhudia uharibifu unaofanywa na Kundi la Waislam wa Ansar Dine huko Timbuktu na Machafuko yanayoambata na mauaji ya kinyama yanendelea kupambana moto nchini Syria.