Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mgomo wa Madaktari nchini Tanzania wakosa uungwaji mkono huku Kenya ikijiapiza kuendelea kupambana na Al Shabab
Imechapishwa:
Cheza - 19:55
Mgomo wa Madaktari nchini Tanzania wakosa nguvu na tayari baadhi ya Madaktari wamerejea kazini kuendelea kutoa matibabu kwa wagonjwa, Serikali ya Kenya yajiapiza kuendelea kupambana na Kundi la Wanamgambo wa Al Shabab, Juhudi za kusaka utulivu nchini Mali zaendelea kushika kasi huku Kundi la Ansar Dine likiendelea kufanya uharibifu wa urithi wa kitamaduni na Marafiki wa Syria wataka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa UN lichukue hatua kudhibiti umwagaji wa damu na kufanya mabadiliko ya uongozi.