Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Haki za Watoto na namna ambavyo bajeti ya Tanzania ilivyozingatia kuzitekeleza

Imechapishwa:

Waandishi wa Habari nchini Tanzania watakiwa kusimamia na kueleza haki za watoto pendekezo ambalo limetolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa Linaloshughulikia Watoto UNICEF na kutaka afya, elimu na masuala ya kijamii yatiliwe mkazo zaidi. Hili limekuja kutokana na waandishi wengi kutojikita kueleza haki za watoto.

RFI Idhaa ya Kiswahili
RFI Idhaa ya Kiswahili RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.