Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Serikali ya Mpito Nchini mali yapatikana wakati Syria ikisitisha mashambulizi dhidi ya wapinzani

Imechapishwa:

Serikali ya kirai yapatikana nchini mali baada ya Taifa hilo kushuhudia mpinduzi ya kijeshi, Mapigano baina ya majirani Sudan na Sudan Kusini yaendelea kushika kasi licha ya juhudi za upatanishi kuchukuliwa, serikali ya Syria juma hili imefikia uamuzi wa kusitisha mashambulizi dhidi ya wapinzani kutekeleza pendekezo la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa UN na Rais wa Afghanistan Hamid Karzai anatarajia kuitisha uchaguzi wa mapema huku akishinikiza Majeshi ya NATO kuondoka mwaka 2014.

Rais Mpya wa Serikali ya Mpito Nchini Mali Dioncounda Traore akiapishwa kushika wadhifa huo
Rais Mpya wa Serikali ya Mpito Nchini Mali Dioncounda Traore akiapishwa kushika wadhifa huo REUTERS/Malin Palm
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.