Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

Hali tete yaendelea kushuhudiwa nchini Mali wakati huu serikali ya mpito ikitarajiwa kuanza kazi

Imechapishwa:

Mjadala wa wiki jumatano ya leo unajiri ikiwa ni siku moja baada ya Mahakama ya kikatiba nchini Mali kusajili rasmi kujiuzulu kwa rais Amadou Toumani Toure, aliyepinduliwa na majeshi mwezi uliopita ikifuatiwa na kuundwa kwa serikali ya kitaifa siku ya alhamisi baada ya uongozi wa kijeshi kuafikiana na jumuiya ya nchi za Afrika Magharibi. Pata nafasi ya kujua Mengi kuhusu nchi Mali wakiwepo wachambuzi Cyprian Nyamwamu wakili na mwanaharakati kutoka nchini Kenya,na Francis Wambete mchambuzi wa siasa za kimataifa kutoka chuo kikuu cha Makerere Uganda.

Spika wa Bunge la Mali Diouncounda Traore anayetarajiwa kushika wadhifa wa Urais kuongoza serikali ya mpito
Spika wa Bunge la Mali Diouncounda Traore anayetarajiwa kushika wadhifa wa Urais kuongoza serikali ya mpito REUTERS/Joe Penney
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.