Muziki Ijumaa
Fahamu kuhusu Whitney Houston mwanamama aliyeteka soko la muziki miaka ya 80 na 90 nchini Marekani lakini nyota yake kuzima ghafla Februai 12 mwaka 2012
Imechapishwa:
Cheza - 09:41
Katika makala haya fuatana na Lizzy Masinga upate kufahamu undani wa marehemu Whitney Houston katika maisha yake ya muziki na nje ya Muziki hadi kifo kilipomkuta Februayi 12 mwaka 2012