Ungana na wasanii mbali mbali kutoka Dar es salaam nchini Tanzania wakiteta juu ya shughuli mbali mbali kutoka kituo cha ushirikiano wa kiutamaduni wa Ufaransa jijini Dar es salaam, nchini Tanzania.
Matangazo ya kibiashara
Kujua mengi kuhusu Kituo Cha Ushirikiano wa Utamaduni wa Ufaransa jijini Dar es salaam, nchini Tanzania, bofya hapa.