Changu Chako, Chako Changu
Uwepo wa lugha ya Kifaransa Africa Mashariki na Kati.
Imechapishwa:
Cheza - 20:52
Ungana nasi katika makala haya tukikuletea uwepo wa lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati. Wasikilizaji nao wanazungumza nasi wakitueleza walicho nacho moyoni kuhusu lugha ya Kifaransa.