Jua Haki Zako
Mwendelezo wa mada juu ya haki ya elimu kwa watu wenye ulemavu zaidi ya moja.
Imechapishwa:
Cheza - 09:52
Mwendelezo wa historia juu ya shirika la kimataifa kutoka Uingereza, Sense International na walimu kutoka Uhuru Mchanganyiko, Dar es salaam, Tanzania; wanaendelea kuteta na Idhaa ya Kiswahili ya Radio France Internationale kuhusu haki ya elimu kwa watoto wenye ulemavu zaidi ya moja.