Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

Mazungumzo ya Sudan Kusini kuingia katika Siku yake ya pili hii leo Jumatano

Imechapishwa:

Karibu msikilizaji kwenye mjadala wa wiki, leo tunaangazia hatua ya mazungumzo ya amani kuhusu Sudan Kusini yanayofanyika jijini Addis Ababa Ethiopia iliyofikiwa huku kukiwepo na suala la mauaji yaliyofanyika mjini Bentiu mwezi huu, nchini Sudan Kusini, pamoja na mapigano ya wenyewe kwa wenyewe, kwa miezi mitano sasa ambapo umoja wa mataifa unasema kuwa mapigano hayo yamegharimu maisha ya watu takribani elfu moja.Ili Kulidadavua Utawasikia wakili Ojwang Agina, mchambuzi wa masuala ya kisiasa na mtaalamu wa Mambo ya Sudan kusini, lakini pia Francis Onditi mtaalamu wa masuala ya Usalama hili kwenye laini ya simu kutoka Nairobi Nchini Kenya.Ungana nami Reuben Lukumbuka kusikiliza Makala Haya..

Raisi Salva Kiir wa Sudan Kusini na Aliyekuwa Makamu wake Riek Machar wakiwa Juba Sudan Kusini.
Raisi Salva Kiir wa Sudan Kusini na Aliyekuwa Makamu wake Riek Machar wakiwa Juba Sudan Kusini. RFI
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.