DAR ES SALAAM-TANZANIA
Idhaa ya Kiswahili ya Radio France International, RFI yaadhimisha miaka mitatu tangu ianze kurusha matangazo
Idhaa ya Kiswahili ya Radio France International, RFI hii leo imetimiza miaka mitatu tangu kuanza kurusha matangazo yake kutoka Dar es Salaam Tanzania.
Imechapishwa: Imehaririwa:
Cheza - 09:06
Matangazo ya kibiashara
RFI Kiswahili ilianza kurusha matangazo yake kwa lugha ya Kiswahili Julai 5, mwaka 2013 na kupasua anga ikirusha habari na makala mbalimbali zilizoandaliwa kwa umakini.
Katika kuadhimisha miaka hiyo mitatu tumekuandalia makala maalum kuhusu maadhimisho hayo na kutaka kujua kwa undani sikiliza makala haya.