Mjadala wa Wiki
Maandalizi ya uchaguzi mkuu nchini Kenya na miungano ya vyama vya siasa
Imechapishwa:
Cheza - 12:39
Juma hili kwenye mjdala wa wiki tunatazama maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu wa urais nchini Kenya, ambapo vyama mbalimbali vimetangaza kuungana kwaajili ya kuhakikisha wanashinda kwenye chaguzi mbalimbali nchini humo.