Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

Mgogoro kati ya mataifa ya magharibi kuhusu Iran

Imechapishwa:

Hii leo kwenye mjadala wa wiki tumeangazia mgogoro uliopo kati ya mataifa ya magharibi na nchi ya Iran kuhusu mpango wake wa kurutubisha Uranium mpango ambao unapingwa na mataifa hayo wakitaka nchi hiyo kusitisha mara moja.Nchi ya Israel yenyewe imetishia kuivamia kijeshi nchi ya Iran endapo serikali ya nchi hiyo itaendelea kukaidi maazimio ya Umoja wa Mataifa kuhusu kuachana na mpango wa Nyuklia.

Rais wa Iran Mahmoud Ahmadinejad
Rais wa Iran Mahmoud Ahmadinejad Reuters/Irib Iranian TV
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.