Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
RFI kiswahili yapoteza mchambuzi wake wa siasa AMBOKA ANDERE
Imechapishwa:
Cheza - 19:52
Mtayarishaji wa makala hii, Jumamosi hii ameangazia masula mbalimbali, ikiwemo kifo cha mchambuzi wetu wa siasa na mwandhsi wa habari wa siku nyingi wa nchini Kenya AMBOKA ANDERE, lakini pia ameangazia mkutano wa SADC uliomalizika juma hili Mjini Luanda Angola na bila kusahau utekelezwaji wa katiba mpya nchini Kenya.