Pata taarifa kuu
Muziki Ijumaa

Bongo Beat

Imechapishwa:

Wadau mbalimbali wa Muziki walimiminika maeneo ya ukumbi wa Trinity ambako kulikuwa na makamuzi ya Bongo Beat. Wasanii tofauti waliwaburudisha wapenzi waliokuwepo,  Fid Q, Rage, Ras Mizizi, Mzungu Kichaa, Yvonne Mwale. Katika makala haya ambatana nasi kusikiliza wasanii hawa wanasema nini kuhusu Bongo Beat

RFI, Bilali
Vipindi vingine
  • 10:04
  • 10:40
  • 10:00
  • 10:09
  • 10:03
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.