Pata taarifa kuu

Dkt .Lena Matata Mwanasayansi anachangia makubwa katika utafiti wa magonjwa yanayosababishwa na virusi

Dunia ikisherekea mchango wa wanawake katika maendeleo ya ulimwengu ,wito umetolewa wa kuwekeza zaidi  kwa wanawake kama chambo cha kuchochea maendeleo.

Dawa za kutibu magonjwa yaliyotengwa hazipatikani kwa urahisi
Dawa za kutibu magonjwa yaliyotengwa hazipatikani kwa urahisi AFP/ SANOFI/ AVENTIS
Matangazo ya kibiashara

 

Carol Korir amezungumza na Dkt Lena Matata ,mwanasayansi na mtafiti katika shirika la DNDI linaloangazia magonjwa yaliyotengwa.

 

01:29

DKT LENA MATATA

Dkt Lena  ameshirikishwa kwenye utafiti wa matibabu ya homa ya Dengue Kilifi Pwani ya Kenya ,pamoja na miradi mingine katika nchi za Uganda ,Tanzania na Sudan Kusini.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.