DRC: Changamoto za kupata elimu katika kambi ya wakimbizi ya Kanyaruchinya
Katika sehemu ya pili ya ripoti kuhusu changamoto zinazowakabili maelfu ya wakimbizi kwenye kambi ya Kanyaruchinya, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, mwandishi wetu Hillary Ingati alizuru kambi ya wakimbizi ya Kanyaruchinya anaangazia changamoto zinawakumba watoto.
Imechapishwa: