Pata taarifa kuu

Sherehekea na sisi miaka 12 ya RFI Kiswahili pale Alliance française, Nairobi. BURE

Tarehe 4 ya mwezi ujao, Idhaa ya Kiswahili ya Radio France International kwa kushirikiana na kituo cha utamaduni cha Ufaransa, Alliance Française, jijini Nairobi, itakuwa inaadhimisha kumbukizi ya miaka 12 tangu kuanzishwa kwake. 

Tangazo
Tangazo © FMM-RFI
Matangazo ya kibiashara

Kuelekea siku hii, usikose kuhudhuria onesho la muziki kutoka kwa wasanii Habib Koité, Aly Keita na Joel Sebunjo.

  

Ni terehe 4 ya mwezi Octoba katika kituo cha utamaduni cha Ufaransa, Alliance Française jijini Nairobi.

 

Kushiriki onesho hili itabidi ujisajili na ni BURE, tafadhali bofya kiungo hiki kujiandikisha:  https://bit.ly/MandingoNBI 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.