Pata taarifa kuu
BURUNDI

Bunge nchini Burundi lapinga muswada wa kodi.

Bunge nchini Burundi limeukataa mswada unaowataka mamia ya wafanyakazi wa umma kulipa kodi kupitia mishahara na posho ambazo wanazipata jambo ambalo linaenda kinyume na pendekezo la msahama lililotolewa na Rais.

Wabunge nchini Burundi
Wabunge nchini Burundi edmortimer.wordpress.com
Matangazo ya kibiashara

Uamuzi huo umevichukiza vyama vya kijamii nchini humo ambavyo vilikuwa vinashinikiza wafanyakazi hao walipe kodi kama ambavyo wananchi wengine wanafanya kitu ambacho kingechangia kuongeza mapato ya serikali.

Spika wa bunge Pius Ntavyohanyuma amesema wameupinga muswada huo kwa kuwa umetawaliwa na makosa kwa hiyo wameamua kuurudisha kwa serikali ili ufanyiwe mabadiliko zaidi kabla ya kujadiliwa.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.