Somalia
WFP yafaanikiwa kusafirisha misaada ya chakula ya dharura kuelekea Mogadishu
Hatimaye, Shirika la mpango wa Chakula Duniani WFP limefanikiwa kusafirisha tani kumi za misaada ya dharura, kuelekea mjini Mogadishu hapo jana, ili kuwasaidia maelfu ya watoto waliokumbwa na baa la njaa nchini Somalia.Β
Imechapishwa:
Matangazo ya kibiashara
Kufuatia ukame mkali ambao haujawahi kushuhudiwa kwa miaka sitini iliyopita, Somalia ni nchi katika pembe ya Afrika ambayo imeathirika zaidi ambapo takriban watu milioni kumi na mbili wako katika hatari kubwa.