Pata taarifa kuu
Israeli-Palestina

Mwanaharakati mmoja athibitisha kuwepo na vitendo vya unyanyasaji na maofisa wa Israeli

Mmoja wa wanaharakati ambae alirejeshwa nyumbani kwao na serikali ya Israel baada ya kuwasili nchini humo kuelekea katika ukanda wa gaza ametoa taarifa zinazoonyesha kufanyiwa vitendo vya unyanyasaji na maofisa wa usalama wa Israel.

oe24.at
Matangazo ya kibiashara

Julia Hurnaus akiwa pamoja na wanaharakati wengine zaidi ya 40, ni miongoni mwa wanaharakati waliorudishwa nchini mwao kufuatia kuzuiliwa kuingia nchini Israel wakati wakielekea katika ukanda wa gaza.

Hurnas amevishutumu vikosi vya Israel kwa kuwanyanyasa wakati wakiwa kizuizini wakihojiwa.

Wanaharakati hao zaidi ya sitini walikamatwa muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa mjini Tel-Aviv wakiwa njiani kuelekea katika kampeni ya kuhamasisha kutolewa misaada kwa wapalestina wanaoishi katika ukanda wa gaza.
 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.