Jua Haki Zako
Marekani kukiuka haki za binadamu kwa kufanyisha kazi watoto. Sehemu ya Kwanza.
Imechapishwa:
Cheza - 09:24
Shirika la Kimataifa linalojihusisha kutetea haki za binadamu. Human Right Watch imetoa ripoti kuishutumu Marekani katika kukiuka haki za binadamu kwa kufanyisha kazi watoto kwenye mashamba ya tumbaku. Ajira kwa watoto ni ukiukwaji wa haki za binadamu.
Matangazo ya kibiashara
Ripoti ya Human Rights Watch kwa lugha ya Kiingereza, kuishutumu Marekani katika kutoa ajira kwa watoto, bofya hapa chini: