Pata taarifa kuu
Marekani-Umeme

Kukatika kwa umeme kwaatihiri shughuli za zaidi ya watu milioni 1 majimbo ya California na Mexico

Umeme umekatika katika majimbo ya Arizona, Kusini mwa California na Mexico nchini Marekani na kuathiri shughuli za zaidi ya watu Milioni 1, hasa wanaojihusisha na biashara. 

Yahoonews
Matangazo ya kibiashara

Maafisa kaytika majiombo hayo wanasema,ukosekanaji wa umemehuo umetokea kwa sababu ya kiufundi,na wametaka wakaazi wa majimbo hayo kutokuwa na wasiwasi wakati hali hiyo inaposhughulikiwa.

 

Wakati hayo yakijiri, rais Barrack Obama ametanagza hali ya hatari katika majimbo ya New York na Pennsylvania ,kutokana na mafuriko makubwa ya hivi punde katika majimbo hayo na kusabisha kuuawa kwa watu watano na maelfu kutoroka makwao.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.