Pata taarifa kuu
Venezuela-Cuba

Rais wa Venezuela Hugo Chevez arejea nchini Cuba kwa matibabu zaidi

Rais wa Venezuela Hugo Chavez amerejea nchini Cuba kwa mara ya pili kwa ajili ya kuendelea kupatiwa matibabu ya saratani kufuati mwezi Juni kuondolewa kipande chenye saratani mwilini mwake.

rais wa Venezuela, Hugo Chávez, anaesumbuliwa na maradhi
rais wa Venezuela, Hugo Chávez, anaesumbuliwa na maradhi ©Reuters.
Matangazo ya kibiashara

Chavez ambaye amenyolewa nywele zako kutokana na matibabu anayofanyiwa amesema ana imani kubwa atarejea nchini mwake akiwa na afya na kuendelea kuongoza taifa la Venezuela kwa ufanisi.

Kiongozi huyo anaelekea Cuba kwa matibabu zaidi kipindi hiki ambacho wapinzani wake wa kisiasa wakiamini Chavez anastahili kukaa kando na mtu mwingine apewe jukumu la kuongoza wakihofia afya yake haimruhusu kufanya hivyo.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.