Pata taarifa kuu

Mwandishi wa habari wa Mali aliyetoweka apatikana 'salama salimini'

Mwandishi wa habari wa Mali ambaye alitoweka tangu Alhamisi alipatikana 'salama salimini' huko Bamako, tume iliyoundwa na wanahabari wenzake imetangaza baada ya tangao la kutoweka kwake Jumapili jioni.

Mazingira ambayo Bw. Touré alipatikana hayakubainishwa na tume hiyoi, ambayo ilipanga mkutano na waandishi wa habari Jumanne asubuhi huko Bamako.
Mazingira ambayo Bw. Touré alipatikana hayakubainishwa na tume hiyoi, ambayo ilipanga mkutano na waandishi wa habari Jumanne asubuhi huko Bamako. AFP
Matangazo ya kibiashara

"Aliou Touré, mkurugenzi wa uchapishaji wa gazeti la Le Démocrate (la kibinafsi), amerejea nyumbani akiwa salama," imesema tume hiyo iliundwa na wanahabari,ambayo inachoundwa na vyama kadhaa vya waandishi wa habari, katika taarifa kwa vyombo vya habari iliyotumwa kwa shirika la habri la AFP.

Mazingira ambayo Bw. Touré alipatikana hayakubainishwa na tume hiyoi, ambayo ilipanga mkutano na waandishi wa habari Jumanne asubuhi huko Bamako. Mwandishi huyo aliripotiwa kutoweka siku ya Alhamisi mjini Bamako, shirika la maendeleo ya Jamhuri (CDR), ambayo yeye ni katibu tawala wake, na shirika la kitaaluma la waandishi wa habari, waliambia waandishi wa habari siku ya Ijumaa.

Alikuwa, siku hiyo, alishiriki katika uhuishaji wa mkutano na waandishi wa habari kutaka kuachiliwa kwa mfanyakazi mwenzake Mohamed Youssouf Bathily, anayejulikana kama Ras Bath, mpiga picha maarufu na mmoja wa viongozi wa CDR. Ras Bath alishtakiwa na kufungwa Machi 13 baada ya kusema kwamba Waziri Mkuu wa zamani Soumeylou Boubèye Maïga, ambaye alikufa kizuizini mwaka mmoja uliopita chini yautawala wa kijeshi, 'aliuawa'.

Soumeylou Boubèye Maïga alikuwa Waziri Mkuu wa Rais Ibrahim Boubacar Keïta kati ya 2017 na 2019, aliyepinduliwa mnamo mwezi Agosti 2020 na wanajashi ambao wako madarakani.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.