Pata taarifa kuu
CHINA-MAREKANI-USALAMA

Marekani imetetea hatua yake ya kuangusha Maputo ya China

NAIROBI – Marekani imetetea uamuzi wake wa kuangusha Maputo matatu yanayoshukiwa kuwa ya kijasusi kutoka nchini China, yaliyokuwa katika angaa lake, Kaskazini mwa nchi hiyo, mwishoni mwa wiki iliyopita.

John Kirby ni msemaji wa Ikulu ya Marekani anayehusika na masuala ya usalama.
John Kirby ni msemaji wa Ikulu ya Marekani anayehusika na masuala ya usalama. REUTERS - EVELYN HOCKSTEIN
Matangazo ya kibiashara

John Kirby ni msemaji wa Ikulu ya Marekani anayehusika na masuala ya usalama.

“Tunafahamu kuwa Maputo haya ya hujasusi yalikuwa yametumwa katika mabara ya nchi mbali mbali zikiwemo za washirika wetu.” ameeleza John Kirby ni msemaji wa Ikulu ya Marekani.

Wakati Marekani ikitetea uamuzi, China imeishtumu Marekani kwa kutuma Maputo yake ya kijasusi katika anga lake, zaidi ya mara 10 mwaka uliopita, madai ambayo Washington inakanusha.

 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.