DRC- USALAMA
DRC: Watu 12 wameuawa Jumapili na watu wenye silaha Ituri
NAIROBI – Watu 12 wameuawa hapo jana kwenye mji wa Ituri mashariki mwa nchi ya DRC, wakati watu wenye silaha waliposhambulia vijiji viwili vya Apakolu na Kalemi, wengi ya waliouawa wakiwa wamechinjwa, kilometa 100 kusini mwa mji wa Bunia.Kutoka Beni, Erickson Luhembwe, ametutumia ripoti ifuatayo…
Imechapishwa: Imehaririwa:
Cheza - 01:30