DRC- RWANDA- USALAMA
Raia wa DRC wanaozungumza Kinyarwanda, wanaendelea kukimbia vita na kuingia Rwanda
Raia wa DRC wanaozungumza Kinyarwanda, wanaendelea kukimbia vita na kuingia katika nchi jirani ya Rwanda, wanakopewa hifadhi ya muda katika kambi ya Nkamira, Wilayani Rubavu.Mwandishi wetu, Christopher Karenzi amerejea jijini Kigali baada ya kutembelea kambi ya Nkamira na kututumia ripoti ifuatayo
Imechapishwa:
Cheza